Skip to content
No results
  • Nyumbani
  • Machapisho
    • machapisho Muhimu
    • habari Kubwa
    • Elimu
    • PICHA
    • Jarida la Smaujata
  • Kuhusu
    • Miradi
  • Registration
  • Donate
SMAUJATA
SMAUJATA
  • Nyumbani
  • Machapisho
    • machapisho Muhimu
    • habari Kubwa
    • Elimu
    • PICHA
    • Jarida la Smaujata
  • Kuhusu
    • Miradi
  • Registration
  • Donate
SMAUJATA
SMAUJATA
  • Machapisho, habari Kubwa

SMAUJATA INALAANI MAUAJI YA MWANAFUNZI ELIZABETH MAGUHA.

Dar es salaam, 24 April 2025. TAARIFA KWA UMMA. Hekima na Umoja; Kwa huzuni kubwa, Mwenyekiti wa Jumuiya ya SMAUJATA Taifa Shujaa Sospeter Bulugu, na Menejimenti ya SMAUJATA, imepokea taarifa za mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Ustawi wa Jamii…

  • Rachpa Tarimo
  • April 24, 2025
  • Machapisho, habari Kubwa, machapisho Muhimu

TAMKO RASMI LA JUMUIYA YA SMAUJATA KUHUSU MABINTI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WALIOMDHALILISHA BINTI MWENZAO.

Dar es Salaam, 23 April 2025. Hekima na Umoja; Jumuiya ya SMAUJATA kupitia Idara ya Wanafunzi, Vyuo na Vyuo Vikuu SMAUJATA inashtushwa na kulaani vikali tukio la ukatili wa kinyama uliofanywa na wanafunzi dhidi ya mwanafunzi mwenzao, kwa kile kinachodaiwa…

  • Rachpa Tarimo
  • April 23, 2025
  • habari Kubwa, Machapisho

ZIARA YA KATIBU WA KANDA YA KASKAZINI SHUJAA EZEKIEL TLANKA MKOANI ARUSHA

Na SMAUJATA HABARI – ARUSHA April 14;2025 Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Kaskazini, Shujaa Ezekiel Tlanka, amefanya ziara rasmi katika Mkoa wa Arusha ambapo alipokelewa kwa heshima na Mashujaa wa SMAUJATA wa mkoa huo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa…

  • Rachpa Tarimo
  • April 15, 2025
  • Machapisho, habari Kubwa

SMAUJATA DAR YAMREJESHA SHULENI MTOTO ALIYETELEKEZWA KWA BIBI HANDENI.

Na SMAUJATA – Dar es salaam, April 13/2025 Uongozi wa Smaujata mkoa wa Dar es salaam, ukiongozwa na Shujaa Mary Mwangaba;katibu na Shujaa huki katibu hamasa mkoa, tukishirikiana na maafsa ustawi wa mkoa wa Dar es salaam kata ya Kigogo,…

  • Rachpa Tarimo
  • April 14, 2025
1 2 3 4 … 7
Next
Copyright © 2026 - WordPress Theme by CreativeThemes